Waliochanjwa chanjo ya corona wazawadiwa msokoto wa bangi bure New York - EDUSPORTSTZ

Latest

Waliochanjwa chanjo ya corona wazawadiwa msokoto wa bangi bure New York

Wakazi wa New York jijini Marekani ambao wamekuwa wakichanjwa chanjo ya Covid-19 waliweza kupata zawadi ambayo haikutarajiwa siku ya Jumanne: Msokoto wa bangi.
Wanaharakati wanaosherehekea kuidhinishwa rasmi kwa bangi katika jimbo la New York walimpatia msokoto wa bangi wa bure mtu yeyote mjini Manhattan aliyethibitisha kuwa alipokea walau dozi moja ya chanjo moja ya corona.

"Hii ni mara ya kwanza tunaweza kuketi pamoja na kuwapatia kisheria watu bangi," alisema Michael O'Malley, mmoja wa waandalizi wa ‘’utoaji wa bangi’’ katika Union Square.

"Tunaunga mkono juhusi za shirikisho za utoaji wa chanjo. Na pia tunajaribu kuhamasisha wahalalishe kisheria matumizi ya mmea wa bangi katika nchi nzima ," aliliambia shirika la habari la AFP.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.