Wakamatwa kwa Kula Wakati wa Mfungo wa Ramadhani - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Wakamatwa kwa Kula Wakati wa Mfungo wa Ramadhani

WATU wanane wamekamatwa na polisi wa Kiislamu katika jimbo la kaskazini mwa Nigeria Kano kwa madai ya kukataa kufunga Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

 

 

Polisi wa Hisbah wanasimamia sheria za Kiislam huko Kano – moja ya majimbo 12 ya Waislamu kaskazini mwa Nigeria wanaotumia mfumo wa sheria wa Sharia pamoja na sheria za kidunia za nchi hiyo.

 

 

“Wahusika walikuwa wanawake watano na wanaume watatu, wakila alasiri katika mwezi wa Ramadhan,” Aliyu Kibiya, Mkurugenzi mtendaji wa Bodi ya Hisbah Jimbo la Kano alinukuliwa akisema.

 

 

Kufunga kwa watu wazima ni suala la wajibu hasa kwa wale wenye uwezo wa kutokula na kunywa. Walio wagonjwa na wale ambao wanaweza kupata athari za kiafya iwapo watafunga kula na kunywa, wakiwemo watoto, wanawake wajawazito, wasafiri na wanawake wanaonyonyesha.

 

 

Mwandishi wa BBC Khalifa Shehu Dokaji yuko Kano anasema wanawake hao waliiambia Hisbah kwamba walikuwa na msamaha kwa kuwa wako kwenye hedhi, lakini polisi waliwaambia pamoja na hali hiyo hawakupaswa kula hadharani.

Ikiwa watashtakiwa mahakamani, wanaweza kulipishwa faini au kupelekwa kwa taasisi ya marekebisho ya tabia. Taarifa ya Bw Kibiya ilionya kuwa uvamizi zaidi utafanywa katika jimbo lote kuhakikisha watu wanazingatia wajibu wao wa kidini.


Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz