Unaambiwa Penzi la Jennifer Lopez na Bilionea Alex Rodriguez limekwisha - EDUSPORTSTZ

Latest

Unaambiwa Penzi la Jennifer Lopez na Bilionea Alex Rodriguez limekwisha

Jennifer

Penzi la Jennifer Lopez na Alex Rodriguez limekwisha, wawili hao wameripotiwa kuachana na kuvunja uchumba wao rasmi baada ya miaka 4 ya kuwa pamoja. Umeripoti mtandao wa TMZ.

Wawili hao wameueleza mtandao wa TODAY kwenye taarifa ya pamoja kwamba, wametambua ni vyema zaidi kwao kama watabaki kuwa marafiki huku wakiweka ahadi kwamba wataendelea kusaidiana na kupeana nguvu hasa kwenye biashara ambazo walizianzisha pamoja.

Penzi lao lilianza mwaka 2017 na 2019 Rodriguez alimvisha J-LO pete ya uchumba yenye thamani ya TSh. bilioni 4. Mwaka 2020 walianza kutudokeza kuhusu mipango ya ndoa na wengi tukaamini hii inaenda kuwa ndoa ya 4 kwa Mwanamama huyo mwenye umri wa miaka 51.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz