Twaha Kiduku amtwanga Mkongo katika pambano la uzito wa kati - EDUSPORTSTZ

Latest

Twaha Kiduku amtwanga Mkongo katika pambano la uzito wa katiTwaha Kassim maarufu kama Twaha Kiduku amezidi kuonesha ubabe katika ulingo baada ya kumpiga Tshbangu Kayembe kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika pambano la round nane
Mchezo huo wa uzito wa Kati (Middle weight) ulichezwa usiku wa kuamkia Aprili 10, 2021 katika ukumbi wa Ubungo Plaza. Ikiwa na mapambano mengine saba ya utangulizi

Katika mmoja wa michezo ya utangulizi mtanzania Yonas Segu maarufu kama Black Mamba amepoteza mkanda wa WBF- African Champion Light Weight baada ya kupigwa kwa Technical Knock Out (TKO) na Mmalawi, Hannock Phiri

Awali pambano lilibidi kufanyika Machi 19, kutokana na maombolezo ya hayati Rais Magufuli ilibidi kusogezwa mbele hadi Aprili 9

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz