Tonombe, Fei Toto Kuikosa Prisons leo-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Tonombe, Fei Toto Kuikosa Prisons leo-Michezoni leo

WACHEZAJI watatu tegemeo hivi sasa wa Yanga viungo Mukoko Tonombe, Feisal Salum ‘Fei Toto’ na mshambuliaji Michael Sarpong wanatarajiwa kuukosa mchezo wa leo Ijumaa dhidi ya Tanzania Prisons.

 

Timu hizo zinatarajiwa kujitupa kwenye Uwanja wa Nelson Mandela uliokuwepo mkoani Rukwa katika mchezo wa Hatua ya 16 Bora ya Kombe la FA.

Kwa mujibu wa taarifa ambazo imezipata Championi Ijumaa, wachezaji hao wataukosa mchezo huo kutokana na kutumikia adhabu ya kadi.

 

Mtoa taarifa huyo kutoka ndani ya benchi hilo la ufundi ameeleza kuwa nyota hao wanatumikia adhabu ya kadi tatu za njano walizozipata katika michezo iliyopita.

Alisema kuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi anawaandaa wachezaji wengine watakaocheza nafasi zao katika kuelekea mchezo huo.“Katika kuelekea mchezo wetu wa kesho (leo) tunatarajia kuwakosa wachezaji wetu watatu muhimu ambao Tonombe, Fei Toto na Sarpong.

“Watakosekana kutokana na kutumikia adhabu ya kadi tatu za njano walizozipata katika michezo iliyopita ukiwemo uliopita dhidi ya Azam FC.

 

Kocha hivi sasa yupo katika mipango ya kuwaandaa wachezaji wengine watakaocheza mchezo huo dhidi ya Prisons,” alisema mtoa taarifa.

Alipotafutwa Mkuu wa Kitengo cha Habari cha Yanga, Hassan Bumbuli alithibisha kukosekana kwa wachezaji akisema: “Ni kweli wachezaji hao hawatakuwa sehemu ya mchezo huo kutokana na kutumikia adhabu ya kadi za njano.”

STORI: WILBERT MOLANDI, Dar es Salaam

The post Tonombe, Fei Toto Kuikosa Prisons leo appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz