TMA yatoa tahadhari ya mvua kubwa mikoa minne nchini - EDUSPORTSTZ

Latest


 

TMA yatoa tahadhari ya mvua kubwa mikoa minne nchini
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo la kutokea kwa mvua kubwa kuanzia leo Jumamosi Aprili 3, 2021  katika mikoa ya  Dar es salaam, Pwani, Lindi pamoja na kusini mwa Mkoa wa Morogoro.


Taarifa ya matarajio ya hali mbaya ya hewa kwa siku tano iliyotolewa na mamlaka hiyo leo imeeleza kuwa athari zinazoweza kujitokeza ni pamoja na baadhi ya makazi kuzungukwa na maji pamoja na ucheleweshwaji wa baadhi ya shughuli za usafirishaji.Imeeleza kuwa Aprili 4, 2021  kutakuwa na uwezekano wa kutokea mvua kwa baadhi ya maeneo ya mikoa ya Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia) na Lindi.“Athari zinazoweza kujitokeza ni pamoja na baadhi ya makazi kuzungukwa na maji pamoja na ucheleweshwaji wa baadhi ya shughuli za usafirishaji. Tafadhali zingatia na ujiandae,” imesema taarifa hiyo.Pia imesema Aprili 5, 2021 kuna uwezekano wa kutokea mvua kubwa kwa baadhi ya maeneo ya mikoa ya Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia) na Lindi, ambapo athari zinazoweza kujitokeza ni baadhi ya makazi kuzungukwa na maji pamoja na ucheleweshwaji wa baadhi ya shughuli za usafirishaji.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz