Tanzia: Terrence Clarke wa NBA Afariki Dunia-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Tanzia: Terrence Clarke wa NBA Afariki Dunia-Michezoni leo

MCHEZA kikapu chipukizi kutoka chuo kikuu cha mchezo wa mpira wa kikapu cha Kentucky kilichopo nchini Marekani, Terrence Clarke amefariki Dunia mchana wa jana baada ya kupata ya ajali ya gari iliyotokea kwenye jiji la Los Angeles nchini Marekani.

 

 

Clarke aliyefariki akiwa na umri wa miaka 19, mwenye urefu wa futi 6 na inchi 7 alikuwa anatajwa kuwa miongoni mwa wacheza kikapu bora chipukizi tena kutoka kwenye nafasi ya ulinzi tokea mwaka 2020 jambo ambalo limewagusa mashabiki wengi wa mchezo huo Duniani.

 

 

Baada ya kifo hiko kutangazwa, aliyekuwa kocha wake, John Calipari amesema; “Wote tupo kwenye mshangao mkubwa. Hiki kitakuwa kipindi kigumu kwa wote waliomfahamu na kumpenda Terrence, na nimuombe kila mmoja achukue wasaa usiku wa leo kumuombea Terrence na familia yake. Apumzike kwa amani”.

 

 

Terrence ambaye alikuwa na ndoto ya kucheza NBA, mwezi uliopita alisaini mkataba wa kuendelea kucheza ligi hiyo ambapo aliambulia kucheza michezo 8 tu ya msimu uliopita baada ya kusumbuliwa na majeraha kwenye mguu wake wa kulia.

The post Tanzia: Terrence Clarke wa NBA Afariki Dunia appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz