TANZANIA YAFUZU FAINALI ZA SOKA YA UFUKWENI SENEGAL MEI MWAKA HUU BAADA YA KUITOA BURUNDI LEO COCO-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

TANZANIA YAFUZU FAINALI ZA SOKA YA UFUKWENI SENEGAL MEI MWAKA HUU BAADA YA KUITOA BURUNDI LEO COCO-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TANZANIA imefanikiwa kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika Soka la Ufukweni licha ya kufungwa 6-4 na Burundi leo kwenye mchezo wa marudiano ufukwe wa Coco Jijini Dar es Salaam.
Tanzania inayofundishwa na Boniface Pawasa inafuzu kwenye Fainali hizo zitakazofanyika Jijini Dakar nchini Senegal kuanzia Mei 23 hadi 29 mwaka huu kwa ushindi wa jumla wa 12-9 baada ya kushinda 8-3 kwenye mechi ya kwanza hapa hapa Dar es Salaam. 


No comments:

Post a Comment