Taharuki imeibuka baada ya Rap Goddess Rosa Ree Kupost Picha Akiwa na Majeraha na Damu Mwili Mwake - EDUSPORTSTZ

Latest

Taharuki imeibuka baada ya Rap Goddess Rosa Ree Kupost Picha Akiwa na Majeraha na Damu Mwili Mwake


Taharuki imeibuka baada ya Rap Goddess @Rosa_Ree kutumia ukurasa wake wa Instagram kupost picha hiyo inayomuonyesha mwenye majeraha mwilini na kuambatanisha caption "Haikutakiwa kua hivi... huu ni ushetani" •


Bado haijafahamika fika ni kipi kimemkuta Rosa Ree au ni kazi yake ya sanaa 🤔No comments:

Post a Comment