Simba Yatoa Kipigo cha 5G kwa Mtibwa Sugar-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Simba Yatoa Kipigo cha 5G kwa Mtibwa Sugar-Michezoni leo

MABINGWA wa Watetezi wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara Simba, wamerudi kwa kishindo kwenye ligi hiyo baada ya kuicharaza Mtibwa Sugar kwa magoli 5-0 katika mchezo uliochezwa leo Aprili 14,   kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es salaam.

Magoli ya Simba yamefungwa na Claoutus Chama dakika ya 9’ Rally Bwalya dakika 19’ Meddie Kagere alifunga magoli mawili 42’ 51’ na Luis Miquissone aliyehitimisha karamu hiyo akimalizia pasi safi ya Chama dakika ya 69.

Kagere baada ya kupachika mabao wawili amefikisha magoli 11,   na kuongoza msimamo ya wafungaji kwenye ligi kuu bara.

Kwa matokeo hayo Simba imefikisha alama 49 baada ya kuchexa mechi 21 na kusogea mpaka nafasi ya pili nyuma ya vinara Yanga wenye alama 51 baada ya kushuka dimbani mara 24.

The post Simba Yatoa Kipigo cha 5G kwa Mtibwa Sugar appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz