Simba Yaitungua Gwambina, Yapaa Kileleni-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Simba Yaitungua Gwambina, Yapaa Kileleni-Michezoni leo

BINGWA mtetezi wa ligi Kuu Tanzania bara Simba  imefanikiwa kukwea kwenye kileleni kwenye msimamo wa wa ligi hiyo baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Gwabina Fc, katika mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Gwambina , Misungwi Mwanza.

Goli pekee la Mnyama Simba limefungwa na beki wa kushoto Mohamed Hussein ‘Zimbwe’ dakika ya 29 kwa mkwaju wa mbali uliomshinda mlinda mlango wa Gwambina Mohamed Makaka.

Akizungumza baada ya mechi Zimbwe amesema licha ya uwanja kuwa mbovu wamejitahidi kutengeneza nafasi na wamefanikiwa kupata ushindi.

Kwa matokeo hayo sasa ni rasmi Simba inaishusha Yanga katika nafasi ya kwanza baada ya kufikisha alama 58 baada ya kushuka dimbani mara 24, na Yanga wapo nafasi ya pili na alama 57 baada ya mechi  26.

Keshi ligi hiyo itaendelea kwa Yanga

The post Simba Yaitungua Gwambina, Yapaa Kileleni appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.