"Rose Ndauka Bado Sana Kuimba" - Shamsa Ford - EDUSPORTSTZ

Latest

"Rose Ndauka Bado Sana Kuimba" - Shamsa Ford

Msanii wa filamu Shamsa Ford amemchana ukweli rafiki yake Rose Ndauka baada ya kuingia kwenye muziki kwa kumwambia hajui kuimba bora waaendelee kuigiza filamu huko kwengine waachie wasanii kama Maua Sama na Rosa Ree.

Shamsa Ford amesema yeye binafsi hajui kuimba ila anapenda kucheza na kwa upande wa Rose Ndauka bado sana ila anasubiria show yake ambayo atakuwa anamuangalia na kumsikiliza huku akiwa ameshika shavu.

"Rose Ndauka anapenda kuimba sio kwamba hajui, anamuelekeo kidogo na muda utaongea zaidi ila kwangu mimi naona bado kabisa anisamehe kwa hili bora tuendelee kufanya 'movie', mpaka huu mwaka uishe tutaona mengi muziki tuwaachie wakina Maua Sama, Nandy na Rosa Ree" amesema Shamsa Ford Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.