REAL MADRID YAREJEA KILELENI LA LIGA BAADA YA KUICHAPA BARCA 2-1-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

REAL MADRID YAREJEA KILELENI LA LIGA BAADA YA KUICHAPA BARCA 2-1-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TIMU ya Real Madrid imeweka hai matumaini ya ubingwa baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Barcelona usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Alfredo Di StΓ©fano Jijini Madrid.
Mabao ya Real Madrid yamefungwa na Karim Benzema dakika ya 13 na Toni Kroos dakika ya 28, wakati la Barcelona lilifungwa na Oscar Mingueza dakika ya 60.
Kwa ushindi huo katika mchezo wa 30, Real inafikisha pointi 66, sawa na Atletico Madrid yenye mechi moja mkononi na kupanda kileleni, wakati Barcelona inaangukia nafasi ya tatu ikibaki na pointi zake 65 za mechi 30

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz