REAL MADRID YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA CHELSEA NYUMBANI-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

REAL MADRID YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA CHELSEA NYUMBANI-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
WENYEJI, Real Madrid wamelazimishwa sare ya 1-1 na Chelsea katika mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Alfredo Di StΓ©fano Jijini Madrid nchini Hispania.
Kiungo Mmarekani Christian Pulisic alianza kuifungia Chelsea dakika ya 14, kabla ya mshambuliaji Mfaransa, Karim Benzema kuisawazishia Real Madrid dakika ya 29 sasa timu hizo zitarudiana Mei 5 Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London, The Blues wakihitaji hata sare ya 0-0 kwenda Fainali.
Nusu Fainali nyingine ya kwanza inachezwa leo Uwanja wa Parc des Princes Jijini Paris, Ufaransa baina ya wenyeji, Paris Saint-Germaine na Manchester City Saa 4:00 usiku.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz