Real Madrid Uso Kwa Uso Na Liverpool Leo-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Real Madrid Uso Kwa Uso Na Liverpool Leo-Michezoni leo

Ukiwa na Meridianbet, huna sababu ya kuwaza wiki inaanza au kuisha kwa namna gani? Hii ndio maana halisi ya Nyumba yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa! Kwenye Meridianbet wiki hii;

 

Brentford watawaalika Birmingham katika muendelezo wa Ligi ya Championship kule Uingereza. Mtanange wa Championship umezileta timu kama Leeds United na Sheffield United kwenye EPL, Meridianbet tumekupatia Odds ya 1.60 kwa Brentford Jumanne hii.

 

Tutavuka mipaka na kutua kwenye Ligi ya Mabingwa. Jumanne hii tutakumbushana vita ya Sergio Ramos vs Mo Salah, Real Madrid uso kwa uso na Liverpool kwa mara nyingine. Japokuwa Ramos hatocheza mechi hizi, lakini burudani ya msimu wa 2018/19 inarudi kivingine msimu huu. Kuna Odds ya 2.65 kwa Liverpool kupitia Meridianbet.

 

Baada ya kumuangusha mwamba wa Serie A [Juventus], FC Porto kupepetana na Chelsea ya Thomas Tuchel Jumatano hii. Huu ni mchezo ambao Tuchel ataingia uwanjani akiwa na machungu ya kupoteza mchezo wa EPL kwa mara ya kwanza wikiendi iliyopita. Meridianbet tumekusogezea Odds ya 1.95 kwa Chelsea.

 

Jumatano ni vita tupu, kilichotoke msimu uliopita kwenye fainali ya Ligi ya Mabingwa kinajirudia kwenye mchezo wa robo fainali msimu huu. Bayern Munich vs PSG, ni moto! Bayern ataendeleza ubabe au PSG atakataa utumwa? Tumekusogezea Odds ya 2.10 kwa Bayern kupitia Meridianbet wiki hii.

 

Alhamisi hii tutahamia kwenye Ligi ya Europa. Ajax kuwaalika AS Roma, pengine huu ukawa ndio mchezo mgumu kwenye hatua ya robo fainali ya Europa msimu huu. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.15.

 

Tutahitimisha kwa mchezo wa Dinamo Zagareb vs Villareal. Huku napo sio pakuchukulia poa. Dakika 90 zinaweza kukupa faida kubwa. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.30 wa Dinamo alhamis hii.

 

The post Real Madrid Uso Kwa Uso Na Liverpool Leo appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.