Rais Samia Awaonya Wazushi Wa Mitandaoni Kuhusu Kifo cha Dr. Magufuli - EDUSPORTSTZ

Latest

Rais Samia Awaonya Wazushi Wa Mitandaoni Kuhusu Kifo cha Dr. Magufuli
Rais Samia Suluhu Hassan amewaonya watumiaji wa mitandao ya kijamii wanaozusha uongo kuhusu chanzo cha kifo cha Hayati Dkt. John Magufuli aliyekuwa Rais wa tano wa Tanzania.

Amesema kuwa wapo wanaozusha kuwa Kiongozi huyo alipewa sumu, na kuwataka kama wana ushahidi wa kutosha wajitokeze wasikilizwe, vinginevyo waache kuleta uchonganishi ndani ya nchi.

Rais Suluhu Hassan ameeleza kuwa yanayosemwa na watu hao yanalenga kuchonganisha kabila na kabila, kundi moja la watu na jingine, na hatokubaliana na jambo hilo.

Alikuwa akilihutubia Bunge jijini Dodoma ikiwa ni mara yake ya kwanza tangu aapishwe kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Machi 19 mwaka huu kufuatia kifo cha Dkt. Magufuli.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.