Putin ndie mwanaume mwenye mvuto Urusi - EDUSPORTSTZ

Latest

Putin ndie mwanaume mwenye mvuto Urusi

Rais wa Urusi Vladmir Putin amepigiwa kura kwa mara nyingine tena mwaka huu kuwa ndie Mwanaume mwenye mvuto zaidi nchini Urusi, hii sio mara ya kwanza kwa Putin kushinda huku picha inayomuonesha akiwa bila shati ikionekana kutajwa kuwa ni bora na wapiga kura wengi.

Katika kura 2,000 zilizopigwa Putin mwenye umri wa miaka 68 amezidi kwa kura na ametangazwa Mshindi akiwashinda Waigizaji, Waimbaji, Wanamichezo na Watu wengine alioshindanishwa nao.

Shindano limeendeshwa na Mtandao wa Super Job na wamehojiwa Wanawake 1000 na Wanaume 1000 kutoka Miji 300 ya Urusi March 22 hadi March 31, Wanaume waliompigia kura Putin ni 18% na Wanawake 17% na kumfanya awe Mshindi ukilinganisha na kura walizopata wengine.

Baadhi ya Watu wanasema huenda Warusi wanampa ushindi Putin kwakuwa ni Rais na huenda wengine wana hofu ya kuchukuliwa hatua kama wasipompa kura yeye.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz