Okwi Awatembelea Simba Kambini Kuwamaliza Waarabu-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Okwi Awatembelea Simba Kambini Kuwamaliza Waarabu-Michezoni leo

KIKOSI cha Simba kinachojiandaa na mchezo wao wa mwisho katika hatua ya makundi leo jijini Cairo kwenye mashindando ya Ligi ya Mabingwa Afrika mapema leo wamepata ugeni kwa kutenbelewa na mshambuliaji wao wa zamani Emmanuel Okwi.

 

“Emmanuel Okwi leo ametutembelea hapa kambini jijini Cairo, Misri na kupata chakula cha mchana na wachezaji pamoja na kututakia mchezo mwema wa leo usiku ambao tutawakabili Al Ahly”, Twitter ya Simba imeandika

Okwi anaecheza soka nchini Misri katika timu ya Al Ittihad Alexandria Club aliyojiunga nayo 2019 akitokea Msimbazi, timu yake hadi sasa inashikilia nafasi ya pili katika msimamo nyuma ya Zamalek katika michezo 17 iliyoshiriki huku akiwa amefunga magoli 2.

 

Simba ambao ndio vinara wa kundi A wakiongoza kwa jumla ya alama 13, katika mashindano ya Caf ikifuatiwa na wapinzani wao Al Ahly.

Wekundu hao wa msimbazi wanajiandaa na mchezo wao wa mwisho katika kundi hilo dhidi ya wababe wa Misri Al Ahly, mchezo huo unapigwa majira ya 3.00-Usiku kwa Misri na 4.00 kwa majira ya Tanzania.

Simba ikienda katika mchezo huo ikiwa na rekodi ya kutopoteza mchezo katika kundi hilo ikishinda michezo minne na kutoa sare moja dhidi ya Al-Merrikh kule Khartoum Sudan.

Simba hadi sasa ikitajwa kama timu namba mbili kwa ubora katika mashindano hayo ikiwa na nyota kama Clotus Chama na Luís Miquissone, huku Mamelod Sundowns ikiongoza kwa ubora.

The post Okwi Awatembelea Simba Kambini Kuwamaliza Waarabu appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz