Niyonzima: Najikubali, Nitapambania Nafasi-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Niyonzima: Najikubali, Nitapambania Nafasi-Michezoni leo

NAHODHA Msaidizi wa Yanga, Haruna Niyonzima, amesema kuwa atapambana ili kupata nafasi kwenye kikosi cha kocha mpya wa Yanga, Nasreddine Nabi.

Niyonzima kabla ya kuondoka kwa aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze alikuwa akikosa nafasi kwenye kikosi cha kwanza.

Baada ya timu kukabidhiwa kwa Kaimu Kocha Mkuu, Juma Mwambusi bado nafasi yake imekuwa ngumu ambapo kocha huyo amekuwa akimwamini zaidi Carlos Carlinhos.

Akizungumza na Championi Jumatano Niyonzima alisema kuwa: “Kikosi cha Yanga kipo vizuri kwa sasa na matarajio ya kutwaa ubingwa yapo, sisi hatumwangalii mpinzani wetu ila kwa sasa tunadili na michezo yetu iliyobaki ya ligi na kupata pointi tatu ili kutimiza malengo yetu.

“Najiamini na ninajikubali hivyo nitajituma mazoezini kwa ajili ya kuhakikisha ninakuwa chaguo la kwanza kwenye kikosi chake ila siwezi kusema nina uhakika huo kwa sasa.

The post Niyonzima: Najikubali, Nitapambania Nafasi appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz