Niyonzima Afafanua Ishu ya Kustaafu Soka-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Niyonzima Afafanua Ishu ya Kustaafu Soka-Michezoni leo

KIUNGO wa Yanga na Timu ya Taifa ya Rwanda, Haruna Niyonzima, amesema hajafikia uamuzi wa kustaafu kuichezea Rwanda kama ambavyo vyombo mbalimbali vya habari vimekuwa vikiripoti.

Niyonzima amekuwa ndani ya kikosi cha timu ya Taifa ya Rwanda kwa muda wa miaka kumi, huku akicheza zaidi ya michezo 100.

Akizungumza na Spoti Xtra, Niyonzima alisema: “Watu wengi hawakunielewa vizuri nini nilitaka kuwasilisha katika maelezo yangu kuhusu kuichezea timu ya Taifa niliyoyatoa hivi karibuni.

“Nilichotaka kumaanisha ni kwamba, iwapo Rwanda ingefanikiwa kufuzu kucheza michuano ya AFCON ya mwakani basi baada ya michuano hiyo ningestaafu.

“Lakini kwa bahati mbaya hatujafanikiwa kufuzu, basi siwezi kufanya hivyo kwani bado kuna malengo yangu binafsi ambayo nataka niyatimize nikiwa na kikosi cha timu ya Taifa.”

STORI: WILBERT MOLANDI NA JOEL THOMAS

The post Niyonzima Afafanua Ishu ya Kustaafu Soka appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.