"Nilijiangalia Nikaona Ufupi Huu Sitoboi"- Ebitoke - EDUSPORTSTZ

Latest

"Nilijiangalia Nikaona Ufupi Huu Sitoboi"- Ebitoke

Unakumbuka Mchekeshaji Ebitoke alipotangaza kugombea kushiriki shindano la Miss Tanzania 2020, sasa msanii huyo amefunguka kusema shindano hilo lilimshinda kwani alijiangalia kwenye kioo akasema kwa ufupi alionao asingeweza kushinda.

Akizungumza na eNewz ya East Africa TV inayoruka kila siku ya Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 12:00 Jioni, Ebitoke amesema

"U-Miss ulinishinda kwa sababu nilijiangalia kwenye kioo mara nyingi nikasema na ufupi huu nitaenda kuwa miss gani 'high hills' zenyewe kutembelea shida,  kiukweli nina kasura fulani hivi ila umiss ulinishinda na sio fani yangu" amesema EbitokeJe wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.