NAMUNGO FC MAMBO MAGUMU AFRIKA, YAPIGWA TENA NA LEO NYUMBANI 1-0 NA NKANA FC YA ZAMBIA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

NAMUNGO FC MAMBO MAGUMU AFRIKA, YAPIGWA TENA NA LEO NYUMBANI 1-0 NA NKANA FC YA ZAMBIA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TIMU ya Namungo FC imepoteza mechi ya tatu mfululizo katika Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuchapwa 1-0 na Nkana FC ya Zambia jioni ya leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. 
Bao pekee la Nkana FC leo limefungwa na mshambuliaji Diamond Chikwewe dakika ya 69 na matokeo hayo yanaifanya timu ya Ruangwa mkaoni Lindi iendelee kushika mkia kufuatia kufungwa 1-0 na Raja Athletic Jijini Casablanca nchini Morocco na 2-0 na Pyramids ya Misri hapa hapa Dar es Salaam katika mechi zake mbili za awali.
Nkana sasa ni ya tatu baada ya kukusanya pointi tatu za kwanza leo kufuatia nayo kufungwa 3-0 na Pyramids nchini Misri na 2-0 na Raja kwao, Zambia katika mechi zake mbili za awali.
Raja na Pyramids zenye pointi sita kila zinamenyana muda huu Jijini Casablanca katika mchezo utakaozitenganisha timu hizo za Kaskazini mwa Afrika nafasi ya kwanza na ya pili.


Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.