Mwanamuziki mashuhuri nchini Tanzania, Diamond Platnumz Aweka Rekodi Hii Mpya - EDUSPORTSTZ

Latest

Mwanamuziki mashuhuri nchini Tanzania, Diamond Platnumz Aweka Rekodi Hii Mpya


Mwanamuziki mashuhuri nchini Tanzania, Diamond Platnumz amepiga hatua nyingine kubwa katika kazi yake ya muziki.


Diamond kwa jina halisi Naseeb Abdul amekuwa mwanamuziki wa kwanza kusini mwa jangwa la sahara kupata subscribers milioni tano katika mtandao wa Youtube, kupitia chaneli yake ya youtube.


Kwa karibu anafuatwa na Rayvanny Akiwa Na Milioni 2.63, Harmonize Akiwa Na Milioni 2.4, Davido akiwa na milioni 2.38, Burna Boy milioni 1.82 na Wizkid milioni 1.68.


Mafanikio haya ya sasa ya Diamond yanakuja yakifuata rekodi aliyoiweka mwaka jana (2020) baada ya wimbo wake maarufu 'Waah' aliomshirikisha mwanamuziki wa Koffi Olomide wa DRC kutazamwa na watu milioni 1ndani ya Masaa 8 baada ya kibao hicho kutoka, na kuvunja rekodi iliyowekwa na mwanamuziki wa Nigeria Davido baada ya kibao chake 'Fem' kuwavuta watazamaji milioni moja ndani ya saa 9 tangu kibao hicho kilipoachiwa.


Rekodi nyingine iliyowekwa na mwimbaji huyo ni kuwa msanii wa kwanza kusini mwa jangwa la Sahara kuwa na watazamaji bilioni moja youtube.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.