MWADUI FC NAYO YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA TFF BAADA YA KUICHAPA COASTAL UNION 2-0 LEO SHINYANGA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

MWADUI FC NAYO YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA TFF BAADA YA KUICHAPA COASTAL UNION 2-0 LEO SHINYANGA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 TIMU ya Mwadui FC imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Coastal Union ya Tanga jioni ya leo Uwanja wa Mwadui Complex, Kishapu mkoani Shinyanga.
Mabao ya Mwadui FC yamefungwa na Roshwa Rashid dakika ya 14 na Wallace Kiango dakika ya 24.
Mwadui FC inakamilisha orodha ya timu tatu tupu za mikoa inayopakana kufuzu Robo Fainali hadi sasa, nyingine ni Biashara United ya Mara na Rhino Rangers ya Tabora.
Mchezo kati ta wenyeji, Tanzania Prisons na Yanga SC unafuatia hivi sasa Uwanja wa Mandela, Sumbawanga mkoani Rukwa.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz