Morrison Awafanyia Mazoezi Maalum Yanga-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Morrison Awafanyia Mazoezi Maalum Yanga-Michezoni leo

ZIKIWA zimebaki takribani siku tisa kabla ya Dabi ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga, Kiungo Mshambuliaji wa Simba, Bernard Morrison, amesema atakuwa akifanya mazoezi maalum kwa ajili ya mchezo huo.

 

Morrison ambaye amejiunga na Simba msimu huu akitokea Yanga, kama akicheza mechi hii, itakuwa ni mara ya kwanza kucheza dhidi ya Yanga baada ya ile ya kwanza iliyochezwa Novemba 7, 2020, kukosekana.

 

Tayari Morrison amecheza Kariakoo Dabi mbili akiwa Yanga ambapo ya kwanza alifunga bao pekee lililoipa Yanga ushindi wa 1-0 kwenye Ligi Kuu Bara, kabla ya ile ya pili Simba kushinda 4-1 ndani ya Kombe la FA.

 

Mei 8, mwaka huu, Simba itakuwa mwenyeji wa Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Dar.

 

Akizungumza na Spoti Xtra, Morrison amesema kuwa: “Haina haja ya mimi kuwazungumzia Yanga kwani sioni maana ya kuizungumzia maana mimi mwenyewe naonekana kama Simba, kwa hiyo tusubirie siku yenyewe.

 

Nimejipanga na mazoezi maalum kuelekea mchezo huo kwani ni mchezo mkubwa na wa kwanza kwangu nikiwa Simba.”

Stori na Careen Oscar

The post Morrison Awafanyia Mazoezi Maalum Yanga appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz