Mkalimani afunguka "Niliongea mengi mmeliona lile" - EDUSPORTSTZ

Latest

Mkalimani afunguka "Niliongea mengi mmeliona lile"
Mkalimani Matungwa Mutatina aliyezua gumzo mitandaoni siku ya kumuaga Hayati Dkt John Pombe Magufuli Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, amesema kilichomtokea sio kushindwa kutafsiri maneno bali ni matatizo ya kiufundi.

Akipiga stori na EATV & EA Radio Digital, Mkalimani huyo amesema mitambo ilifika mahala ambapo sauti inatoka ikiwa inakatakata kisha akawa hasikii kabisa sauti inayotoka kwa aliyekuwa anaongea."Ile hali ilinistua kidogo, kilichokuwa kimetokea haikuwa kwamba nimeshindwa kutafsiri maneno ila kulikuwa na sababu za kiufundi, mitambo ilifika mahala ikawa haisikii na sauti inakuja kwa kukatakata lakini haikunivunja moyo, kwa sababu waliokuwa wanacheka hawakujua kilichotokea na kuendelea" ameeleza Mkalimani Matungwa Mutatina Aidha Mkalimani amesema anawaomba watu wawe na uzalendo na wajirekibishe kwa kilichotokea kwa sababu kulikuwa na vitu vingi hasa ilikuwa siku ya kumuaga Hayati Dkt John Pombe Magufuli ila watu wamemdhihaki na kumcheka kwa kilichomtokea.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz