Meya adakwa na TAKUKURU arejesha fedha - EDUSPORTSTZ

Latest

Meya adakwa na TAKUKURU arejesha fedhaTaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kilimanjaro imerejesha shilingi milioni 150 zilizokwapuliwa na Meya wa Manispaa ya Moshi, Juma Raibu katika Benki ya Ushirika ya KCBL mkoani humo.

Hayo yameelezwa na Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Kilimanjaro, Frida Wikesi wakati akitoa taarifa ya miezi mitatu na kubainisha kuwa ndani ya kipindi hicho wamefanikiwa kurejesha  zaidi ya shilingi milioni 200.

"Takukuru Mkoa wa Kilimanjaro tumefanikiwa kuokoa shilingi milioni 229,675,166 na kati ya fedha hizo watu ambao wamenufaika na fedha za KCBL visivyo halali ni Juma Raibu, Meya wa Manispaa ya Moshi ambapo amerejesha shilingi 150  milioni,” amesema Wikesi

Amebainisha kuwa fedha hizo zimerejeshwa kutokana na hatua zilizochukuliwa na TAKUKURU baada ya uchunguzi kufanyika.

"Alichukua fedha hizo  KCBL kabla benki hiyo haijaanza kuingia kwenye misukosuko ya kufilisiwa na sasa hivi tunaendelea kuchunguza watu wote walionufaika na fedha za benki hiyo na salama yao ni kuzirejesha fedha zote," ameongeza Wikesi.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz