MESSI APIGA MBILI BARCA YASHINDA 5-2 NA KUFUFUTA MATUMAINI YA UBINGWA LA LIGA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

MESSI APIGA MBILI BARCA YASHINDA 5-2 NA KUFUFUTA MATUMAINI YA UBINGWA LA LIGA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
MUARGENTINA Lionel Messi jana amefunga mabao mawili, Barcelona ikiibuka na ushindi wa 5-2 dhidi ya Getafe kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Camp Nou.
Messi alifunga mabao yake dakika ya nane na 33, wakati mabao mengine ya kikosi cha Ronald Koeman yalifungwa na Sofian Chakla aliyejifunga dakika ya 38, Ronald Araujo dakika ya 87 na Antoine Griezmann kwa penalti dakika ya 90 na ushei.
Mabao ya Getafe yalifungwa na Clement Lenglet aliyejifunga dakika ya 12 na Enes Unal dakika ya 69 na sasa Barcelona inafikisha pointi 68 baada ya kucheza mechi 31 na kusogea nafasi ya tatu, ikizidiwa pointi mbili na Real Madrid na pointi tano na Atletico Madrid ambao wamecheza mechi 32 kila mmoja.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.