Mdee Acharuka: Serikali Ilipe Deni - EDUSPORTSTZ

Latest

Mdee Acharuka: Serikali Ilipe Deni
Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee, ameitaka Serikali kulipa deni inalodaiwa katika Mifuko ya Hifadhi za Jamii ili Wastaafu walipwe kwa wakati.

Akiwa Bungeni leo, Mdee amesema Duniani kote Mifuko ya Jamii huisaidia Serikali kufanya shughuli za maendeleo kwa kukopa kwa riba na kulipa, lakini kwa Tanzania Serikali na Taasisi zake zinakopa kwa riba lakini hazilipi.

Amebainisha kuwa, Hotuba ya Waziri Mkuu inaonesha kuunganishwa kwa Mifuko mwaka 2018 kumeongeza ufanisi, ubora na kupunguza gharama za uendeshaji.

Ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Serikali (CAG) inaonesha Deni la Serikali ni Tsh. Trilioni 2.7 lakini haijajumuisha Tsh. Trilioni 1.7 za PSSF.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz