MCHEZAJI WA BIASHARA UNITED YA MARA MSIMU ULIOPITA AFARIKI DUNIA AKIWA MAZOEZINI MUSOMA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

MCHEZAJI WA BIASHARA UNITED YA MARA MSIMU ULIOPITA AFARIKI DUNIA AKIWA MAZOEZINI MUSOMA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
MCHEZAJI wa zamani wa klabu ya Biashara United Mara, Sospeter Maiga Mandala amefariki dunia asubuhi ya leo wakati akifanya mazoezi katika uwanja wa Posta mjini Musoma.
Kwa mujibu wa wachezaji waliokuwa mazoezini na mchezaji huyo, Mandala alifika mazoezini kama kawaida akiendesha baiskeli yake na kufanya mazoezi  vizuri bila kuonyesha dalali  zozote lakini ghafla aliinama na kushika kifua.
 "Tumeanza mazoezi vizuri  asubuhi na leo alikuwa anakimbia sana na kutoa pasi,  lakini ghafla aliinama na kushika kifua, tulipokimbia kumuona akaonekana amepoteza fahamu, lakini tulipomfikisha hospitali ikaonekana amefariki dunia," alisema mchezaji huyo.
x
"Hata hivyo, hadi. sasa bado hatujapata taarifa za daktari aliyempokea ili kubaini nini kimesababisha kifo chake,".
Mchezaji huyo inaelezwa hii ilikuwa Mara ya tatu kuanguka lakini wakati wote hakuwa wazi ili kupata matibabu ya tatizo la moyo linalosemekana lilikuwa linamsumbua, “ alisema mmoja wa wachezaji aliokuwa nao mazoezini kabla ya kifo chake.
Mbali na Biashara, marehemu Mandala pia amewahi kuchezea timu za Nyakato FC, Kigera FC, JK FC, Pamba FC za Mwanza, Geita FC ya Geita, Stand United ya Shinyanga na Njombe Mji FC ya Njombe.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.