Mbwa wa Biden amng’ata mtumishi mwingine Ikulu - EDUSPORTSTZ

Latest

Mbwa wa Biden amng’ata mtumishi mwingine Ikulu

Mbwa wa Rais wa Marekani aitwaye Meja amemng’ata mtumishi mwingine wa Ikulu, siku chache tu baada ya kurudi kutoka mafunzoni Delaware ili asirudie kitendo kama hicho alichokifanya mapema mwezi huu.

Msemaji wa Mke wa Rais wa Marekani Jill Biden, amesema kwamba kwa tahadhari kubwa mhusika wa tukio hilo la kung’atwa na mbwa alipatiwa huduma na madaktari na kisha akarudia kazi.

Mbwa Meja ni moja wa mbwa mdogo kati ya mbwa wawili wa rais Biden aina ya German Shepherds na ni mbwa wa kwanza wa Ikulu ya Marekani aliyepatikana kutokana na kuokolewa mitaani.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.