Mbinu ya 'Dorome' ilivyofanikisha wizi wa magari 5 - EDUSPORTSTZ

Latest

Mbinu ya 'Dorome' ilivyofanikisha wizi wa magari 5


Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe limekamata magari matano ya wizi yaliyoibiwa katika sehemu mbalimbali hapa nchini, huku watu wawili wakikamatwa kuhusika na wizi huoAkizungumza Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe Hamisi Issa amesema Kwamba wizi wa magari hayo umekuwa ukifanywa kwa mbinu tofauti ikiwa ni pamoja na kutumia vilevi maarufu kama dorome ili kufanikisha wizi huo.


"Taratibu za wizi wanaoiba siku hizi , ndugu zangu mnaotumia vinywaji endapo utakuwa unakunywa maji kama utakuwa umeenda kujisaidia baada ya muda na umeacha kinywaji chako usiendelee kukitumia tena kuna mtindo unaitwa dorome, dorome ni inachukuliwa ugolo ama valium inawekwa kwenye glass ama chupa ukinywa unalewa bila kujitambua na matokeo gari linaibiwa"


"Kwahiyo tunawasihi wananchi unapokuwa kwenye kilevi na unakuwa na mtu amabye umfahamu anagalia usalama wako kwanza, sasa hivi hawa wenye magari haya waje wayatafute ama wayafutae na wayachukue magari yao" amesema Kamanda Hamisi Issa 


Pia ameelezea kuibuka  kwa mtindio usio wa kawaida ambao watu wamekuwa wakiingia  kwenye nyumba ya ibada na kuanza kuiba vifaa vinayotumika kwenye ibada.


Kuhusu masuala ya watu kupoteza maisha Kamanda Issa  anasema tatizo la watu kujinyonga bado ni tatizo mkoani Njombe pamoja na masuala ya kishirikina nayo yamekuwa bado ni changamoto licha ya Kukabiliana Nayo Kwa Muda mrefu mapaka  Sasa.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.