MBEYA CITY WAITWANGA NAMUNGO FC 1-0 KATIKA LIGI KUU PALE PALE UWANJA WA MAJALIWA, RUANGWA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

MBEYA CITY WAITWANGA NAMUNGO FC 1-0 KATIKA LIGI KUU PALE PALE UWANJA WA MAJALIWA, RUANGWA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 
BAO pekee la Juma Luizio dakika ya 12 limeipa Mbeya City ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.
Kwa ushindi huo, Mbeya City inafikisha pointi 27 baada ya kucheza mechi 27 na kurejea nafasi ya 16 katika ligi ya timu 18, ambayo mwisho wa msimu timu nne zitashuka na mbili zitakwenda kumenyana na timu za Daraja la Kwanza kuwania kubaki Ligi Kuu.
Namungo yenyewe inabaki na pointi zake 31 za mechi 22 sasa katika nafasi ya 11.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.