Mayweather kuzipiga na Logan Paul - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Mayweather kuzipiga na Logan Paul
Mwanamasumbwi machachari raia wa Marekani, Floyd Mayweather a.k.a ‘Money’ amethibitisha rasmi pambano lake dhidi ya Logan Paul litapigwa siku ya Jumapili ya Juni 6  huko Hard Rock Arena Miami.Bingwa huyo wa dunia, ‘Money’ pambano lake la mwisho ambalo linatambulika katika masumbwi ni lile la mwezi Agosti 2017 alipomkalisja mkali wa UFC, Conor McGregor raundi 10.

Mayweather pia alionekana kwenye pambano lisilo rasmi dhidi ya Mjapan mkali wa kickboxer na mixed martial, Tenshin Nasukawa mwezi Disemba mwaka 2018 akipigika raundi ya awali tu kwa knockout.

Logan Paul ni bondia ambaye amepigana pambano moja tu na pambano hilo kupoteza dhidi ya Mayweather ambaye kapigana mapambano 50 na yote ameshinda.

Floyd Mayweather vs Logan Paul: How two boxing stars compare after  incredible exhibition fight is CONFIRMED for February

‘Money’ ni bondia mwenye mafanikio makubwa ndani na nje ya uwanja, anaaminika kuwa miongoni mwa wanamichezo wanao miliki mkwanja mrefu zaidi.

Mmarekani huyo mwenye umri wa miaka 44, katika mapambano 50 aliyopigana ameshinda yote, haja poteza hata moja. Inakumbukwa aliwahi kupigana na nyota wa UFC, Conor McGregor, amewahi pia kupambana na Oscar De La Hoya, Ricky Hatton, Manny Pacquiao na Canelo Alvarez ndani ya miaka yake 21 ya tasnia hiyo.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz