Matola: Simba Hatushuki Kileleni-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Matola: Simba Hatushuki Kileleni-Michezoni leo

KOCHA Msaidizi wa Simba, Seleman Matola ameibuka na kutoa kauli ya kibabe kwa wapinzani wao kwamba watakachokifanya ni kutotoka katika nafasi ya kwanza waliyopo kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara hadi watwae ubingwa.

Matola ameongeza kwamba kitu kikubwa ambacho wanachokifanya kwa sasa ni kupambana kwenye mechi zao kwa kushinda kwa ajili ya kufanikisha azimio lao la kutwaa ubingwa wa ligi kwa msimu huu.

 

Kabla ya mechi ya jana, Simba wapo kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara wakiwa na pointi 58, moja mbele ya wapinzani wao Yanga ambao wana pointi 57.

Matola ameliambia Championi Jumatano,kwamba kwa sasa plani yao ni kushinda mechi hizo ikiwemo zile za viporo kwa ajili ya kuendelea kukaa kileleni.

 

“Mipango yetu kwa sasa ni kukaa kileleni na hatutashuka hadi tunachukua ubingwa wakati msimu ukiisha. Sisi tungekaa kwenye nafasi hii muda mrefu lakini mechi zetu za kimataifa zilikuwa zinatuchelewesha na kusababisha tuwe na viporo.

 

“Kwa sasa tutapambana tusitoke tena hadi mwisho wa msimu katika nafasi ambayo tupo na tutahakikisha mechi zetu zote ambazo ziko mbele tunashinda,” alimaliza

STORI: SAID ALLY, Dar es Salaam

The post Matola: Simba Hatushuki Kileleni appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz