MANCHESTER CITY YAZIDI KUUKARIBIA UBINGWA LIGI KUU YA ENGLAND-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

MANCHESTER CITY YAZIDI KUUKARIBIA UBINGWA LIGI KUU YA ENGLAND-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
TIMU ya Manchester City imezidi kuukaribia ubingwa wa Ligi Kuu ya England baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Aston Villa juzi Uwanja wa Villa Park Jijini Birmingham.
Wenyeji walitangulia kwa bao la John McGinn dakika ya kwanza tu, kabla ya Phil Foden kuisawazishia Man City dakika ya 22 na Rodri kufunga la ushindi dakika ya 40, wote wakimalizia kazi nzuri za Bernardo Silva.
Timu zote zilimaliza pungufu baada ya wachezaji wao, beki John Stones wa Manchester City kutolewa kwa kadi nyekundu ya moja kwa moja dakika ya 44 na kiungo wa Aston Villa, Matty Cash kutolewa kwa kadi nyekundu pia dakika ya 54 kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano.
Ushindi huo unaifanya timu ya kocha Pep Guardiola imefikisha pointi 77 baada ya kucheza mechi 33 na kuendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi 11 zaidi ya mahasimu wao wa Jiji, Manchester United ambao hata hivyo wana mechi moja mkononi.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.