MAN UNITED YATOKA NYUMA NA KUICHAPA BRIGHTON 2-1 -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

MAN UNITED YATOKA NYUMA NA KUICHAPA BRIGHTON 2-1 -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TIMU ya Manchester United imetoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Brighton &Hove Albion kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku huu Uwanja wa Old Trafford.
Danny Welbeck alianza kuwafungia Brighton dakika ya 13, kabla ya Marcus Rashford kuisawazishia United dakika ya 62 na Mason Greenwood kufunga la ushindi dakika ya 83.
Kwa ushindi huo, Man United inafikisha pointi 60 baada ya kucheza mechi 30, ingawa inabaki nafasi ya pili sasa ikizidiwa pointi 14 na mahasimu wao wa Jiji, Manchester City ambao hata hivyo wamecheza mechi moja zaidi.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.