MAN UNITED YATOKA NYUMA 2-0 NA KUICHAOA ROMA 6-2 OLD TRAFFORD-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

MAN UNITED YATOKA NYUMA 2-0 NA KUICHAOA ROMA 6-2 OLD TRAFFORD-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 TIMU ya Manchester United imetoka nyuma kwa 2-0 na kushinda 6-2 dhidi ya AS Roma katika mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali ya UEFA Europa League Uwanja wa Old Trafford.
Mabao ya Manchester United yamefungwa na Bruno Fernandes mawili dakika ya tisa na lingine 71 kwa penalti, Edinson Cavani mawili pia dakika ya 48 na 64, Paul Pogba dakika ya 75 na Mason
 Greenwood dakika ya 86, wakati ya Roma yamefungwa na Pellegrini Pellegrini 15 na Edin Dzeko dakika ya 33.
Mechi nyingine ya Nusu Fainali ya kwanza ya UEFA Europa League Villarreal imeshinda 2-1 dhidi ya Arsenal Uwanja wa CerΓ‘mica, huko Villarreal na timu hizo zitarudiana kesho.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz