Mabegi ya Barbara Yamshtua Magori-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Mabegi ya Barbara Yamshtua Magori-Michezoni leo

WAKATIwakiwa kwenye harakati za kukwea pipa jana kuelekea nchini Misri kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi, mabegi ya Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez yalimvunja mbavu aliyekuwa Mtendaji wa Simba, Crescentius Magori.

Barbara aliripoti Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere majira ya saa 7:45 mchana na kupokelewa na Magori ambaye alianza kwa kucheka.

Magori alikuwa akitazama mzigo aliokuwa amebeba Barbara ambao ulikuwa na mabegi manne, matatu makubwa na moja lilikuwa dogo.Magori alisikika akisema kuwa: “Hahaha mabegi yote hayo uliyobeba hakika una jambo lako.”

Stori: Lunyamadzo Mlyuka na Musa Mateja

The post Mabegi ya Barbara Yamshtua Magori appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz