Lingard Aikataa Man United-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Lingard Aikataa Man United-Michezoni leo

NYOTA wa West Ham United, Jesse Lingard imeelezwa kuwa hana mpango wa kurejea kwenye timu yake ya Manchester United.

Lingard kwa sasa anakipiga West Ham kwa mkopo tangu Januari mwaka huu, akitokea Man United na akiwa kwenye kiwango kizuri.

Ripoti zinaeleza kuwa Lingard anampango wa kuomba kuondoka moja kwa moja ifikapo mwishoni mwa msimu huu.

Tangu amejiunga na West Ham amefanikiwa kufunga mabao tisa katika mechi 11 na amesaliwa na mkataba wa mwaka mmoja ndani ya United.

West Ham wanataka kumsajili nyota huyo moja kwa moja huku ada ya kumng’oa nyota huyo ni kiasi cha pauni 15m. Kocha Ole Gunnar Solskjaer yupo tayari kumpokea nyota huyo kikosi kwake ilikuja kupambania nafasi yake.

Inaelezwa kuwa Lingard sasa ameamua kuachana na klabu yake hiyo ya utotoni, kutokana na Solskjaer kutokuwa na imani naye.

Mbali na West Ham, klabu kama Arsenal, Inter Milan na Paris Saint Germain zimekuwa zikimtolea macho Lingard kuelekea msimu ujao.

The post Lingard Aikataa Man United appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz