Lamine Moro Awaita Mashabiki kwa Mkapa -Video-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Lamine Moro Awaita Mashabiki kwa Mkapa -Video-Michezoni leo

NAHODHA wa Yanga, Lamine Moro sio mchezaji wa kukata tamaa katika majukumu yake, ameyasema hayo kuelekea mchezo wao dhidi ya KMC utakaopigwa kesho Jumamosi ya Apri 10, 2021 kwamba wapo tayari kwa mapambano.

Moro ameyasema hayo leo Ijumaa, kwamba wamejiandaa vya kutosha wana imani kwamba watanyakua pointi tatu katika mchezo huo.

“Tangu nijiunge na Yanga sijawahi kuona mechi rahisi, kila tunapocheza ushindani unakuwa wa juu, lakini tumejipanga kuhakikisha tunapata pointi tatu hilo ndilo jambo la msingi kwetu,” amesema na ameongeza kuwa;

“Tunawaomba mashabiki wajitokeze kwa wingi kuja kutuunga mkono, naamini hatutawaangusha tutapambana kwa kadiri tutakavyoweza kwa ajili ya kuhakikisha timu yetu inaendelea kuwa kileleni kwenye msimamo wa ligi kuu,” amesema.

The post Lamine Moro Awaita Mashabiki kwa Mkapa -Video appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz