Kocha Matola, Bocco Watamba Kuifunga As Vita Kesho -Dar-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Kocha Matola, Bocco Watamba Kuifunga As Vita Kesho -Dar-Michezoni leo

KESHO Jumamosi Aprili 3, 2021 Simba inatarajiwa kushuka kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, kuwakabili AS Vita Club ya DR Congo kwenye mchezo wa marudio ikiwa na kumbukumbu ya kuvuna pointi tatu kwenye mechi ya kwanza ya ugenini.

 

Simba ndiyo kinara wa Kundi A kwa kuwa na pointi 10, ilizozikusanya baada ya kucheza dhidi ya AS Vita ugenini, Al Ahly ya Misri nyumbani, Al Merrikh ya Sudan nyumbani.

 

Kocha msadizi wa Simba Selemani Matola, akiongea na wanahabari leo amesisitiza kuwa  ni lazima kesho wapate ushindi kujiweka kwenye mazingira mazuri ya kuongoza kundi.

“Kesho ni lazima tupate matokeo ili tusonge mbele, tumejipanga kupata matokeo. Tunamshukuru Mungu hakuna mchezaji ambaye tutamkosa, wote wapo kambini na hilo linatupa mwanga kuwa tunaweza kufanya vizuri.”- Kocha msaidizi, Selemani Matola.

“Kwa upande wetu kama wachezaji tuko vizuri, tuna ari nzuri ya kuweza kupambana ili kufikia malengo ya timu yetu. Tumefanya maandalizi mazuri na tunaamini Mungu atatusaidia na tutafuzu hatua ya robo fainali.

 

“Tuna wachezaji wenye uzoefu mkubwa na wanaoelewa kwanini wapo kwenye klabu. Tuko tayari.”- Nahodha John Bocco.

The post Kocha Matola, Bocco Watamba Kuifunga As Vita Kesho -Dar appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz