Kikosi Cha Simba Chawasili Cairo, Misri – (Picha +Video)-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Kikosi Cha Simba Chawasili Cairo, Misri – (Picha +Video)-Michezoni leo

KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes raia wa Ufaransa leo Aprili 7, 2021 kimewasili salama nchini Misri kikitokea Dubai.

Simba ilianza safari ya kuwafuata wapinzani wao Al Ahly jana Aprili 6 kutoka Tanzania na kilipitia Dubai ambapo kilipumzika na leo kilisafiri kuelekea Misri.

Kinatarajiwa kumenyana na Al Ahly Aprili 9, Uwanja wa Taifa wa Cairo kwenye mchezo wa hatua ya makundi.

Mchezo wa kwanza walipokutana Uwanja wa Mkapa, ubao ulisoma Simba 1-0 Al Ahly na timu zote zimetinga hatua ya robo fainali.

Simba ni kinara wa kundi A akiwa na pointi 13 huku Al Ahly akiwa nafasi ya pili na pointi 8.

The post Kikosi Cha Simba Chawasili Cairo, Misri – (Picha +Video) appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz