Kane Amshukuru Jose Mourinho-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Kane Amshukuru Jose Mourinho-Michezoni leo

Harry Kane

MSHAMBULIAJI mahiri wa Tottenham, Harry Kane amesema ilikuwa ni furaha kubwa kwake kufanya kazi na kocha Jose Mourinho.

Mourinho alitimuliwa juzi asubuhi kwenye timu hiyo baada ya kupata matokeo mabaya kwenye michezo yake.Kane ambaye kwa sasa ndiye kinara wa mabao kwenye timu hiyo amesema Mourinho alikuwa mtu safi sana kwenye timu hiyo.

 

“Nakushukuru sana bosi kwa kila kitu, ilikuwa jambo zuri sana kuona kuwa tumefanya kazi pamoja.“Hakika ulikuwa mtu muhimu kwetu nakutakia kila la kheri kwenye majukumu yako yajayo” aliandika Kane mshambuliaji mahiri wa timu ya Taifa ya England.

Mourinho ametimuliwa siku chache kabla Spurs hawajacheza fainali ya Kombe la Carabao, dhidi ya Man City Jumapili ijayo na atalipwa pauni milioni 28, sawa na shilingi bilioni 69.

 

Timu hiyo msimu huu imeshindwa kufanya mambo makubwa kwenye ligi ikiwa sasa inashika nafasi ya saba na pointi 50, imeshinda michezo 14 na kupoteza michezo kumi baada ya kucheza michezo 32.Mbali na Kane, pia staa wa Spurs, Son Heung-min, amesema kuwa anamshukuru sana Mourinho kwa juhudi zote alizofanya kwenye timu hiyo.

The post Kane Amshukuru Jose Mourinho appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.