Job, Ninja Ndani ya Ufalme Mpya Yanga-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Job, Ninja Ndani ya Ufalme Mpya Yanga-Michezoni leo

USISHANGAE kuona mchezo ujao wa Yanga dhidi ya KMC safu yao ya ulinzi ikaongozwa na Abdallah Shaibu ‘Ninja’ na Dickson Job baada ya kutajwa kuwa wamekuwa wakipewa kipaumbele mazoezini na kocha Juma Mwambusi.

 

Chanzo hicho makini kilidokeza kuwa tangu Job amepona majeraha na kurejea mazoezini amekuwa akifanya vizuri na mara zote amekuwa akipangwa na Ninja kwenye mazoezi, hata katika michezo ya kirafiki na ile ya timu za vijana wamekuwa wakicheza kwa kiwango cha juu.

 

Chanzo hicho kililiambia gazeti hili kuwa: “Wakati Bakari Nondo akiwa timu ya taifa, Mwambusi alikuwa anawatumia Job na Ninja wakicheza kama mabeki wa kati, hiyo ni kwenye mazoezi na kwenye ile michezo ya kirafiki dhidi ya timu ya vijana ya U20.

 

Inavyowezekana hata mechi ijayo huenda wao wakaanza.”Alipotafutwa kocha Mwambusi simu yake iliita muda mrefu bila kupokelewa na alipotafutwa Job alikiri kuwa amekuwa akicheza pacha na Ninja kwenye mazoezi ya timu na hiyo ni tangu aliporejea kambini kutoka timu ya taifa.

 

“Kweli kwenye mazoezi nimekuwa nikicheza sana na Ninja, sasa sijajua mwalimu analenga kitu gani. Ingawa kwa upande wangu imenisaidia na nimekuwa fiti sasa kucheza mchezo wowote nikiwa na timu hii,” alisema Job.

ISSA LIPONDA, DAR ES SALAAM

 

The post Job, Ninja Ndani ya Ufalme Mpya Yanga appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.