Jay Z Adai Siku Akiondoka Akumbukwe Kama Anavyokumbukwa Bob Marley - EDUSPORTSTZ

Latest

Jay Z Adai Siku Akiondoka Akumbukwe Kama Anavyokumbukwa Bob Marley

 "Nikiondoka mnikumbuke kama B.I.G" huu ni mstari wa @johmakinitz kwenye dude lake 'HAO' ambalo lilimtambulisha kwenye game. Kila mmoja anaishi hapa duniani akiwa na malengo ya kuacha alama ili kizazi kijacho kimkumbuke kama mtu fulani.

Kwa upande wa Jay-Z ambaye ameitumikia industry ya muziki na jamii kwa ujumla kwa takribani miaka 33, amesema siku akiondoka anataka watu wamuenzi sawa na Mwanamuziki Bob Marley na wakubwa wengine walioacha alama.

-

"Sina majivuni, si ndio? Natumai wataniongelea Mimi pamoja na majina kama Bob Marley na wengine wakubwa. Mimi sipo kwenye upande wa kuizungumzia." alisema Jay-Z alipoulizwa kuhusu watu wamkumbuke vipi, kwenye mahojiano na The Sunday TimeJe wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz