Ishu ya Onyango Kwenda Orlando Pirates Ipo Hivi-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Ishu ya Onyango Kwenda Orlando Pirates Ipo Hivi-Michezoni leo

MLINZI wa kati wa klabu ya Simba, Mkenya, Joash Archieng Onyango almaarufu ‘Chuma’ amesema kwasasa bado hajapata taarifa yeyote kuhusu yeye kuhitajika na klabu ya Orlando Pirate ya nchini Afrika Kusini.

Joash Onyango amesema; “Bado sijapata taarifa zozote kuhsu hilo.”

Tokea ajiunge na kikosi cha Simba mwanzoni mwa msimu huu, Onyango ameoneha kiwango bora na kuwa mlinzi chaguo la kwanza tegemeo kikosini na kuzidi kuvivutia vilabu vikubwa barani Afrika mpaka kuhusishwa na klabu ya Orlando Pirates.

Onyango amefunga bao moja kwenye ligi kuu bara tena likiwa ni la kuisawazishia Simba kwenye mchezo dhidi ya Yanga na kuufanya mchezo uishe kwa sare ya bao 1-1 na kutengeneza nafasi moja ya bao kwa kumpasia John Bocco aliyefunga bao pekee dhidi ya klabu ya Mwadui.

The post Ishu ya Onyango Kwenda Orlando Pirates Ipo Hivi appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz