IDDI NADO ASAINI MKATABA MPYA WA MIAKA MIWILI KUENDELEA KUPIGA KAZI KWENYE KIKOSI CHA AZAM FC-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

IDDI NADO ASAINI MKATABA MPYA WA MIAKA MIWILI KUENDELEA KUPIGA KAZI KWENYE KIKOSI CHA AZAM FC-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

KIUNGO mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Idd Suleiman 'Nado' amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuichezea Azam FC.
Nado alisaini mkataba huo jana mchana mbele ya Ofisa Mtendaji Mkuu, Abdulkarim Amin 'Popat', utakaomfanya aendelee kusalia Azam FC hadi mwaka 2024.
Nado aliyejiunga na Azam FC msimu uliopita akitokea Mbeya City, amekuwa mchezaji muhimu kikosini na hadi sasa msimu huu akiwa amehusika kwenye mabao 12 ya timuhiyo, akifunga mara saba na kutoa pasi za mwisho tano.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz