Gomes: Tutashinda Mechi Zetu Zote za Ligi-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Gomes: Tutashinda Mechi Zetu Zote za Ligi-Michezoni leo

DIDIER Gomes ameweka wazi kuwa mpango wake kwenye mechi za Ligi Kuu Bara ni kuona anashinda zote ambazo zimebaki ili kutimiza lengo la kutwaa ubingwa wa ligi.Kwenye msimamo wa ligi, Simba ambao ni mabingwa watetezi, wapo nafasi ya tatu wakiwa na pointi 46 baada ya kucheza mechi 20, vinara ni Yanga wenye pointi 51 baada ya kucheza mechi 24.

 

Akizungumza na Championi Jumatatu, Gomes alisema kuwa anatambua changamoto ambazo zipo kwenye ligi, hilo halimpi tabu hesabu zake ni kuona wachezaji wake wanashinda mechi zao.

 

“Tunahitaji kutimiza mipango ambayo ipo baada ya lengo la kwanza la kutinga hatua ya robo fainali kutimia kwa kuwa tunarudi kwenye ligi, ili turudi lazima tufanye maandalizi.

Tunahitaji kushinda mechi zote ambazo tutacheza.“Sababu ya kufanya hivyo ni kuona malengo ya Simba yanatimia kwani tunahitaji kutwaa ubingwa wa ligi na ili uwe bingwa lazima ushinde mechi zako.

 

“Kuna mechi tutacheza nyumbani na nyingine tutacheza ugenini hivyo tunajiandaa kwa ajili ya mechi zote ambazo tutacheza na tupo tayari,” alisema.

 

Aprili 14, Simba itakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Mtibwa Sugar iliyotoka kuambulia kichapo cha mabao 2-0 dhidi ya Azam FC, Uwanja wa Azam Complex.Mchezo wa kwanza walipokutana na Simba, Uwanja wa Jamhuri Morogoro, ubao ulisoma Mtibwa Sugar 1-1 Simba.

STORI: LUNYAMADZO MLYUKA NA MUSA MATEJA

The post Gomes: Tutashinda Mechi Zetu Zote za Ligi appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz