Fahamu undani kuhusu kifo cha msanii DMX - EDUSPORTSTZ

Latest

Fahamu undani kuhusu kifo cha msanii DMXTaarifa na vyanzo mbalimbali vya habari nchini Marekani vimeripoti kuhusu kifo cha msanii wa HipHop na Muigizaji Earl Simmons maarufu kama DMX ambaye hadi umauti unamkuta alikuwa na umri wa miaka 50.

DMX amefariki dunia siku ya leo Ijumaa April 9 katika Hospitali ya White Plains Hospital iliyopo Jijini New York, Marekani.

Chanzo cha kifo chake inasemekana kuwa ni kuzidisha matumizi ya madawa za kulevya na kupata mshtuko wa moyo, wiki iliyopita iliripotiwa kuwa alikimbizwa Hospitali kutokana na tatizo hilo.

Kwenye muziki msanii huyo alitamba na nyimbo kadhaa kama Get at me dog, Ruff ryders anthem, Money power respect, party up na kwenye upande wa kuigiza alicheza filamu kama Cradle 2 the grave, Belly, Never Die Alone, Beef, Beyond the law na nyinginezoJe wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz